Muungano wa matabibu na wauguzi kaunti ya Kisumu watoa makataa ya mwezi moja kabla ya mgomo

  • | Citizen TV
    164 views

    Muungano wa matabibu na wauguzi katika kaunti ya Kisumu sasa wametoa makataa ya mwezi mmoja kwa serikali ya kaunti hiyo, kuwalipa mishahara yao au wafanye mgomo. Wakizngumza hii leo, miungano hiyo iliishutumu serikali ya kaunti ya Kisumu kwa kukosa kulipa mishara kwa miezi miwili kwa baadhi ya wauguzi na matabibu, katika hali isiyoeleweka.