Wanamazingira katika kaunti ya Homa Bay waanza kuhifadhi chemichemi za maji

  • | Citizen TV
    643 views

    Wanamazingira kutoka kaunti ya Homa-Bay wameanza shughuli za kuhifadhi chemichemi za maji eneo hilo ili kupunguza shida ya maji. aidha wametoa uhamasisho kwa wenyeji hukusu kuimarisha hali ya usafi katika fuo za ziwa Viktoria.