Serikali ya kaunti ya Trans Nzoia yaanzisha mchakato wa kurejesha ardhi iliyonyakuliwa

  • | Citizen TV
    696 views

    Serikali ya kaunti ya Trans Nzoia imeanzisha mchakato wa kurejesha zaidi ya ekari mia mbili za ardhi ya wizara ya kilimo ya kaunti hiyo. Ardhi hiyo inadaiwa kunyakuliwa na watu ambao tayari wameanza kuweka ua.