Wakaazi wa Samburu Mashariki wafurahishwa na ujenzi wa hospitali mpya eneo hilo

  • | Citizen TV
    423 views

    wakazi wa eneo la Lesurwa Samburu Mashariki wana matumaini ya kuimarika kwa huduma za matibabu eneo hilo kufuatia uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali eneo hilo. Wakazi hulazimika kutembea zaidi ya kilomita 40 hadi Hospitali ndogo ya Archer's post kutafuta matibabu.