Wanajeshi wa Ukraine waliojeruhiwa katika vita wanahitaji matibabu makubwa

  • | VOA Swahili
    1,177 views
    Madaktari wanasema asilimia 17 ya wanajeshi wa Ukraine waliojeruhiwa katika vita vya uvamizi wa Russia nchini Ukraine wanamajeraha yanayohitaji matibabu ya hali ya juu. Endelea kusikiliza ni kinafanyika kukabiliana na hali hiyo na ni wapi wanajeshi hao wanatarajiwa kupatiwa matibabu.... #madaktari #matibabu #Ukraine #wanajeshi #vita #uvamiziwarussia #voa #dunianileo #voaswahili - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.