Afrika: Utafiti waeleza sababu zinazopelekea watu kujiunga na makundi yenye msimamo mkali

  • | VOA Swahili
    147 views
    Repoti ya Umoja wa Mataifa inaonyesha sababu zinazopelekea watu kujiunga na makundi yenye msimamo mkali Afrika ni ajira. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti hiyo yenye uchambuzi... #un #ripoti #utafiti #vijana #watu #makundi #msimamomkali #Afrika #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.