Nini anachotarajiwa Rais Biden kuzungumzia katika Hotuba ya Kitaifa

  • | VOA Swahili
    705 views
    Rais wa Marekani Joe Biden jana alihutubia, akitoa hali ya kitaifa, ataangalia hali ya kivita huko Ukraine. Sikiliza matarajio ya Wamarekani kutoka katika hotuba ya Hali ya Kitaifa. Endelea kusikiliza... #rais #marekani #joebiden #hotuba #haliyakitaifa #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.