Kisa cha utekaji nyara | OCPD wa Narok ya kati aporwa bunduki

  • | KBC Video
    47 views

    Polisi huko Narok wamezindua msako mkali dhidi ya watu wawili wasiojulikana ambao walimteka nyara afisa mkuu wa polisi huko Narok ya kati Fredrick Shiundu siku ya jumanne jioni.Afisa huyo ambaye tayari amepatikana,anasemekana kutekwa nyara nje ya nyumba yake na kuingizwa kwenye gari lingine kabla ya kutoweka na wahalifu hao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #utekajinyara #News