Upinzani wigoni | Rais akutana na wabunge-30 wa Jubilee

  • | KBC Video
    20 views

    Zaidi ya wabunge 30 wa Jubilee wameahidi kushirikiana na serikali kutimiza ajenda yake ya maendeleo.Wabunge hao pia waliapa kuweka kando tofauti zao za kisiasa kwa ajili ya kuwahudumia WaKenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #williamruto #News #siasa #jubilee