Mchapa kazi Magoha | Mwili wapelekwa kwenye taasisi alikohudumu

  • | KBC Video
    29 views

    Mwili wa aliyekuwa waziri wa elimu profesa George Magoha ulitembezwa jijini Nairobi kwenye msafara wa kufana kama heshima za mwisho kwa waziri huyo. Gari la kusafirisha mwili huo liliondoka kutoka hifadhi ya maiti ya Lee na kupitia vituo kadhaa kabla ya mazishi yake yatakayoandaliwa jumamosi nyumbani kwake katika kijiji cha Umiru kaunti ya Siaya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #RIPMagoha #News