Kiu cha elimu | Wanafunzi wa kidato cha kwanza wasajiliwa

  • | KBC Video
    19 views

    Huku melfu ya wanafunzi wa kidato cha kwanza wakijiunga na shule tofauti za upili nchini,walimu walikuwa na wakati mgumu kushughulikia changamoto mbali mbali huku wanafunzi wakifanya kija juhudi kufikia shule ili wasipoteze nafasi zao.Huko Kakamega mwanafunzi mmoja alifika shuleni akiwa amebeba kuku kama malipo ya karo huku mwengine akitembea umbali wa kilomita nane akiwa tuu na hati ya kuzaliwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #elimu #News #usajiliwawanafunzi