Pwani yazama: Wenyeji wa Tana River wakodolea macho hatari ya kuzama

  • | NTV Video
    1,624 views

    Hatari ya mabadiliko ya tabia nchi inaonekana kuwa na pigo kote ulimwenguni, baadhi ya mataifa tayari yakikabiliana na majanga kama vile tsunami au hata kimbunga.. Lakini Kenya kuna vijiji huko Kipini kaunti ya Tana River ambako wenyeji wanakodolea macho hatari ya kuzama kufuatia maporomoko ya ardhi ambayo yamesababishwa na maji ya bahari kuingia mashambani mwao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya