Mwili wa aliyekuwa waziri wa elimu umefikishwa katika shule mbalimbali na taasisi za kiafya

  • | K24 Video
    210 views

    Mwili wa aliyekuwa waziri wa elimu George Magoha leo umefikishwa katika shule mbalimbali na taasisi za kiafya kama alivyousia kabla ya kifo chake. Mwili huo usiku huu utakuwa nyumbani kwa marehemu mtaani Lavington kabla ya kesho kupelekwa Westlands katika kanisa la consolata shrines kwa ajili ya ibada ya wafu.