Bima za mifugo na watu zinahitajika katika maeneo ya ukame

  • | K24 Video
    38 views

    Zaidi ya asilimia 50 ya watoto hawanyonyeshwi maziwa ya mama mfululizo katika miezi sita ya kwanza ya maisha yao, kama inavyotakiwa na shirika la afya duniani. Kituo cha kudhibiti magonjwa kinasema watoto wanaonyonyeshwa wana uwezekano mdogo wa kupata pumu, unene kupita kiasi, kisukari aina ya kwanza, na kufa ghafla wakiwa wachanga. Hii ina maana kuwa mamilioni ya watoto ulimwenguni wamo katika hatari ya kupata maradhi hayo.