BBC MITIKASI LEO 24.02.2023

  • | BBC Swahili
    820 views
    Na Peter Mwangangi. Kilicho na mwanzo, hakikosi mwisho. Karibu miaka 5 iliyopita tulithubutu kufanya lisilowezekana. Kuanzisha kipindi hiki cha Mitikasi Leo ambacho kimekuwa kikisheheni muhtasari wa kila siku wa habari muhimu za biashara na uchumi, pamoja na mahojiano ya wajarisiamali nguli wanaotikisa ulimwengu wa sera, biashara, na uchumi. Haya ni makala ya mwisho kabisa ya BBC Mitikasi Leo, ambapo tunachukua fursa ya kuangazia baadhi ya mambo muhimu yaliyosheheni katika kipindi hiki. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw