Mungano wa Azimio waikosoa serikali kwa kubuni nyadhifa ziada za umma

  • | KBC Video
    13 views

    Mungano wa Azimio la Umoja- One Kenya umeikosoa serikali kwa kubuni nyadhifa ziada za umma, ukisema huo ni mzigo kwa walipa ushuru. Hayo yamejiri siku chache baada ya mahakama kuu kuamua kwamba nyadhifa za makatibu waandamizi zilibuniwa kuambatana na sheria .Maelezo zaidi ni katika taarifa yake Wycliffe Oketch kutoka gatuzi la Trans Nzoia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #azimiolaumoja #railaodinga