Bina Jennifer Efidi alijeruhiwa alipopigwa na kitu chenye ncha kali alipokuwa akisubiri kupiga kura katika uchaguzi wa rais wa Nigeria.
Licha ya kuumizwa, alidhamiria kupiga kura yake na kurudi kwenye kituo cha kupigia kura. Maeneo kadhaa nchini Nigeria yalikumbwa na ghasia wakati upigaji kura ulipofunguliwa tarehe 25 Februari.
#bbcswahili #nigeria #hakizabinadamu
15 May 2025
- Uriri Member of Parliament Mark Nyamita has opined that there is no formidable force in place to remove President William Ruto from office come the 2027 General Election.
15 May 2025
- "We do not have the intention to switch off anyone because there is freedom of expression that is enshrined in the constitution,” Kabogo said.