Duale na Kindiki wasistiza kwamba Kutumwa kwa KDF kaskazini mwa nchi kulifuata taratibu za Sheria

  • | NTV Video
    320 views

    Waziri wa Ulinzi Aden Duale hii leo amesema Kwamba bajeti ya Fedha zitakazotumika katika Operesheni inayoendelea kurejesha amani katika maeneo yaliyoathirkika na wizi wa MIfugo kaskazini mwa nchi, itatangazwa mwishoni mwa Operesheni hiyo Pamoja na Zana za Kivita zilizotumika hivyo hazifai kutangazwa Mwanzoni mwa Operesheni.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya