Siku ya kina mama duniani | Rais azindua awamu ya pili ya hazina ya Hasla

  • | KBC Video
    9 views

    Wajasiriamali wa humu nchini, sasa wana fursa ya kuchukua mikopo ya hadi shilingi elfu-200, kutoka kwa hazina ya Hastla ili kupiga Jeki biashara zao. Akiongea wakati wa maadhimisho ya mwaka huu ya siku ya kimataifa ya wanawake, Rais William Ruto alisema fedha hizo zitatozwa riba ya asilimia 7, na kwamba zitatolewa samba-mba na mikopo ya hazina ya Hastla inayotolewa kwa wakati huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #hazinayahasla #News #sikuyakinamama #williamruto