Utunzi wa mazingira | Miche elfu-2 yapandwa Mukuru kwa Reuben

  • | KBC Video
    8 views

    Shirika la Planet Plus na lile Biupe Innovators yameafikia mapatano ya kushirikiana na taasisi ya utafiti kuhusu misitu-KEFRI na Mpango wa Eco Care kwenye upanzi wa miti katika mtaa wa mabanda wa Mukuru kwa Ruben kaunti ya Nairobi. Ushirikiano huo ulishuhudia kupandwa kwa miti elfu-2 kwa ushirikishi na wakazi katika kampeni inayoendelea ya kupanua eneo la utandub wa misitu humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mazingira #News