Walimu wa shule ya upili ya Terem washirikiana na shule ya sekondari msingi ya Teremi kutoa mafunzo

  • | Citizen TV
    216 views

    Ili kutatua uhaba wa walimu na miundo msingi, wanafunzi katika shule ya upili ya Teremi inashirikiana na shule ya sekondari msingi ya Teremi kutoa mafunzo mbalimbali kama vile Kifaransa , muziki, masomo ya afya, stadi za maisha na masomo ya sayansi.