Viongozi wa kidini Kaunti ya Samburu wakashifu mauaji ambayo yanazidi kushuhudiwa katika Kaunti hiyo

  • | Citizen TV
    557 views

    Viongozi wa kidini Kaunti ya Samburu chini ya mwavuli wa maaskofu wa makanisa ya kipentekoste wamekashifu mauaji ambayo yanazidi kushuhudiwa katika Kaunti hiyo licha ya oparesheni inayoendeshwa na majeshi ya Kenya Kwa ushirikiano na vikosi vingine vya usalama. Kisa Cha punde kikiwa kuuwawa Kwa Mzee mwenye umri wa miaka 80 eneo la Pura.