wanafunzi wa chuo kikuu cha Kisii wataka serikali kutumia mbinu mbadala kuleta amani Bonde la Ufa

  • | Citizen TV
    401 views

    Kufuatia ukosefu wa usalama unaoshuhudiwa katika maeneo ya Kaskazini mwa Bonde la Ufa, wanafunzi wa chuo kikuu cha Kisii sasa wanatoa wito kwa serikali kutumia mbinu mbadala kuleta suluhu la kudumu.Wanafunzi hao wanasema baadhi yao wanaotoka maeneo yaliyoathirika wanahofia hatma ya familia zao mauaji yakiendelea kila siku.