Wakilishi wadi wa kaunti ya Kajiado waunga mkono hoja ya kuwafurusha afisini mawaziri wawili

  • | Citizen TV
    501 views

    Wakilishi wadi 23 katika bunge la kaunti ya Kajiado wamepiga kura kuunga mkono hoja ya kuwafurusha afisini mawaziri wawili kwa tuhuma za utumizi mbaya wa fedha. Wawili hao pia wanatuhumiwa kwa ufujaji wa pesa na kukiuka sheria za ajira.