Mabingwa Kwathanze walinyakua taji la Voliboli barani Afrika

  • | Citizen TV
    501 views

    Mabingwa wapya wa bara Afrika wa voliboli kwa shule za upili kwathanze, wamewasili nyumbani baada ya kushinda taji hilo nchini morocco. Akiwalaki wasichana hao shupavu, gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ameahidi kuwalipia karo wachezaji wote na pia kuwaundia uwanja wa voliboli wa kisasa.