Uhaba wa walimu na vifaa vya kufundishia waathiri masomo

  • | Citizen TV
    332 views

    Siku moja baada ya Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu kusema kila kitu kiko shwari katika shule za serikali za sekondari msingi, wanafunzi wengi katika shule za vijijini bado hawajaanza masomo. hii ni kutokana na ukosefu wa walimu na vifaa vya kufundishia.#CitizenTV #News #Kenya