Maafa barabarani | Watu wawili waaga dunia Kisii

  • | KBC Video
    16 views

    Watu wawili wamefariki kwenye ajali mbaya kwenye barabara kati ya Ogembo na Nyangusu kaunti ya Kisii.Kulingana na walioshuhudia ajali hiyo,dereva wa gari hilo alikuwa akielekea mji wa Ogembo kutoka Magena wakati alipokosa mwelekeo na kuwagonga wapiti njia wawili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #maafabarabarani #News #Kisii