Gavana Mutula ahakikishia wafanyi-biashara wa Mtito Andei hawatatozwa kodi na kaunti ya Taita Taveta

  • | KBC Video
    63 views

    Gavana wa kaunti ya Makueni Mutula Kilonzo Junior ametoa hakikisho kwa wafanyibiashara mjini Mtito Andei kwamba hawatatozwa kodi na makarani wa mapato kutoka kaunti jirani ya Taita Taveta. Hakikisho lake linajiri wakati ambapo utata wa mpaka kati ya kaunti za Taita Taveta na Makueni unaendelea kutokota.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC #mutulakilonzo