Serikali kuzindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu katika maeneo ya Eastlands

  • | KBC Video
    16 views

    Serikali inapanga kuzindua awamu nyingine ya mradi wa ujenzi wa nyumba zenye gharama nafuu katika maeneo ya Eastlands jijini Nairobi, kama hatua ya kuangazia tatizo la uhaba wa nyumba za makaazi jijini Nairobi.

    with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #affordablehousing #News