Kutana na Edinah Ngare, msichana anayefanya kazi ya upishi licha ya kotokuwa na uwezo wa kuona

  • | Citizen TV
    665 views

    Japo hana uwezo wa kuona,Edinah Ngare amejitosa kufanya kazi ya upishi na kazi nyingine za nyumbani, ili kuhakikisha anaongeza masomo ndiposa apate ajira. Ngare anasema ari yake ni kuhitimu na shahada ya uzamifu ili iwe rahisi kupata kazi.