Rigathi: Gas na maziwa wanatuuzia bei ya juu tunataka wanabiashara wengine waingie ndio bei iteremke

  • | KBC Video
    44 views

    Rigathi : Nimeona headline kubwa ati sisi tunataka kuharibu biashara ya familia mbili. Gas na maziwa wamekuwa wakituuzia bei ya juu, tunataka wanabiashara wengine waingie kwa hiyo biashara ndio bei iteremke.

    #TheGreatKBC

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #rigathigachagua #News