Watu wanne wameuawa kwenye mzozo wa shamba Kisii

  • | Citizen TV
    2,225 views

    Maafisa wa polisi kaunti ya Kisii wanaendelea kuwatafuta wahalifu waliovamia boma moja eneo la Sugubo, Nyamache na kuwauwa watu wanne. Mtu mwingine mmoja ameachwa na majeraha mabaya, kwenye tukio hili lililosababishwa na mzozo wa shamba.