LGBTQ I Mama Rachel Ruto akosoa uamuzi wa mahakama ya juu kuidhinisha chama cha mashoga nchini

  • | KBC Video
    36 views

    Wiki mbili baada ya mahakama ya juu kuidhinisha kusajiliwa kwa makundi ya mashoga nchini, suala hilo bado linaibua hisia mseto miongoni mwa wananchi. Mama taifa Rachel Ruto ambaye alihudhuria ibada ya jumapili eneo la Igembe Kusini, kaunti ya Meru, ameungana na viongozi wengine kukosoa uamuzi huo wa mahakama ya juu, huku viongozi wa kidini wakisema kuwa, hawataunga mkono uamuzi huo kwa vile unakiuka imani zao za kidini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #rachelruto #lbgtq