Wanakandarasi wa barabara kusubiri malipo kwa muda mrefu zaidi

  • | KBC Video
    28 views

    Wana-kandarasi wa barabara muhimu za humu nchini watalazimika kusubiri kwa muda mrefu zaidi, huku serikali ikishughulikia billi ambazo hazijalipwa za kima cha zaidi ya shillingi billion 910. Akiongea na wana-habari, katibu mwandamizi anayehusika na barabara mhandisi Joseph Mbugua, alikariri ahadi ya serikali ya kulipia billi hizo, huku ikisimamisha miradi mingine kadha ili kukamilisha ile iliyoanzishwa na utawala uliopita, na pia miradi ya barabara iliyokwama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #darubiniwikendi #News