Mwaura akamilisha mbio kutoka Kisumu hadi Mombasa ili kusaidia watoto wenye matatizo ya moyo

  • | KBC Video
    60 views

    James Mwaura mwenye umri wa miaka thelathini amekamilisha mbio za wiki moja ya kuchangisha fedha za kuwasaidia watoto wanaokabiliwa na maradhi ya moyo. Mwaura, ambaye ni mwanariadha amekuwa kwenye harakati hiyo inayohitaji nguvu nyingi amevunja rekodi kwa kukimbia kwa siku kumi na tatu na kupumzika kwa siku kumi na nne pekee kutoka Kisumu hadi Mombasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #heartrun #darubiniwikendi