Polisi eneo la Racecourse jijini Nakuru wanamsaka mshukiwa Thomas Njuguna

  • | Citizen TV
    1,013 views

    Polisi katika eneo la Rasecouse huko Nakuru mashariki wanamsaka mwanaume mmoja kwa jina Thomas Njunguna kufuatia madai kwamba alimuua mkewe na kisha kutoroka leo adhuhuri.