31 Aug 2025 7:41 pm | Citizen TV 6,615 views Duration: 35s Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino ameeleza kufurahishwa na maendeleo ya uwanja wa talanta utakaoiweka kenya kwenye ramani nzuri ya dunia kuelekea AFCON 2027