- 1,361 viewsDuration: 2:37Rais William Ruto ametoa onyo kwa maafisa wa serikali wanaopinga mfumo wa kidijitali wa kutoa kandarasi. Akizungumza kaunti ya siaya, Rais Ruto amesema maafisa wa serikali wanaopinga mfumo huo wajiuzulu kazini akiongeza kuwa serikali kamwe haitalegeza kamba