Kiwanda cha uchakataji wa asali Tanzania
Ufugaji wa nyuki ni moja ya sekta inayotegemewa na jamii nyingi pamoja na serikali katika kuingiza kipato hasa katika ukanda wa magharibi mwa Tanzania huku changamoto kubwa ilikuwa ni upatikanaji wa soko la uhakika.
Lakini huenda sasa changamoto hii ikabaki historia baada ya kuanzishwa kiwanda cha uchakataji wa asali na kusafirishwa kwenda katika masoko ya nje.
Mwandishi wetu Alfred Lasteck katembelea kiwanda hicho cha Upendo Honey na kuandaa taarifa hii…
#bbcswahili #tanzania #kigoma
20 Aug 2025
- Govt in plans to distribute new vehicles by November.
20 Aug 2025
- Ruto's sentiments elicited heated debate among leaders.
20 Aug 2025
- The changes impact payment of deductions.
21 Aug 2025
- Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink
21 Aug 2025
- Court told of missing gun in Rashid's trial
21 Aug 2025
- Court shocker: Man not married despite 10-year union, children
21 Aug 2025
- MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
21 Aug 2025
- How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
21 Aug 2025
- Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour
21 Aug 2025
- Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
21 Aug 2025
- Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
21 Aug 2025
- Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
21 Aug 2025
- Big blow to President after court blocks his anti-corruption team