- 1,058 viewsKimbunga cha kitropiki Freddy kimeikumba pwani ya kusini mwa Afrika na kuua takriban watu 225 katika nchi za Malawi, Msumbiji na Madagascar, na kufanya watu takriban 25,000 kuyahama makazi yao. Dhoruba hii imevunja angalau rekodi moja - kimbunga kinachokusanya nguvu zaidi (ACE), kipimo kinachozingatia nguvu za upepo wa dhoruba. Kulingana na Shirika la Utabiri wa Hali ya Hewa Ulimwenguni, kimekusanya nguvu sawa na msimu mzima wa vimbunga vya Atlantiki ya Kaskazini, na inaweza kuendelea kuvunja rekodi zaidi. Kadiri mabadiliko ya hali ya hewa yanavyosababisha joto baharini, nguvu ya joto kutoka kwenye uso wa maji inachochea dhoruba kali zaidi. #bbcswahili #kimbungafreddy #malawi
Kwa nini kimbunga hatari kilichoikumba Afrika kimevunja rekodi?
- - Duniani Leo ››
- 21 Aug 2025 - Court told of missing gun in Rashid's trial
- 21 Aug 2025 - Court shocker: Man not married despite 10-year union, children
- 21 Aug 2025 - MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
- 21 Aug 2025 - How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
- 21 Aug 2025 - Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour
- 21 Aug 2025 - Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
- 21 Aug 2025 - Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
- 21 Aug 2025 - Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
- 21 Aug 2025 - Big blow to President after court blocks his anti-corruption team
- 21 Aug 2025 - Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink