'Mke wangu amefariki kwa njaa'
Takriban watu 43,000 huenda wamefariki nchini Somalia mwaka jana kutokana na ukame mkali baada ya mvua kushindwa kunyesha kwa misimu kadhaa, ripoti mpya kutoka kwa serikali ya Somalia na Umoja wa Mataifa inaeleza.
Ni idadi ya kwanza rasmi ya vifo vinavyotokana na ukame katika Pembe ya Afrika. Nusu ya vifo inadhaniwa kuwa ni vya watoto chini ya miaka mitano. Ripoti hiyo hiyo inatabiri hadi vifo 34,000 zaidi mwaka huu.
#bbcswahili #somalia #ukame
20 Aug 2025
- Govt in plans to distribute new vehicles by November.
20 Aug 2025
- Ruto's sentiments elicited heated debate among leaders.
20 Aug 2025
- The changes impact payment of deductions.
21 Aug 2025
- Court shocker: Man not married despite 10-year union, children
21 Aug 2025
- MSMEs urged to embrace AI for enhanced customer experience
21 Aug 2025
- How courts have tamed Ruto's appetite for illegal task forces
21 Aug 2025
- Ruto on diplomatic tightrope as Japan, China vie for favour
21 Aug 2025
- Uncertainty over university fees as CS keeps costs under wraps
21 Aug 2025
- Cost of homes up as UN offices move to Nairobi
21 Aug 2025
- Former deputy president's plans to popularise 'wantam' campaign
21 Aug 2025
- Big blow to President after court blocks his anti-corruption team
21 Aug 2025
- Job loss fears as high taxes, weak demand push firms to the brink
21 Aug 2025
- Court told of missing gun in Rashid's trial