- 700 viewsRais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi amemteua aliyekuwa makamu wa rais wa nchi hiyo Jean-Pierre Bemba, ambaye alikuwa gerezani kwa zaidi ya miaka 10 kwa uhalifu wa kivita, kuwa waziri wa ulinzi wa nchi hiyo katika mabadiliko makubwa kwenye serikali. Uteuzi wake ulikuwa sehemu ya mabadiliko makubwa ya maafisa 57 wa serikali, ambayo msemaji wa rais alisema ni ya "haraka na lazima", katika tangazo kupitia kituo cha televisheni ya taifa ya Kongo. Rais huyo pia amemteua Vital Kamerhe, mkuu wake wa zamani wa utawala, ambaye aliachiliwa kutoka gerezani mwezi Desemba 2021 baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu, wakati alipokuwa waziri wa Fedha. Kamerhe Juni mwaka 2022 alifutiwa mashtaka yote baada ya kukataa rufaa dhidi ya mashtaka hayo. Mabadiliko hayo, ambayo yalikuwa makubwa zaidi kuliko ilivyotabiriwa, yamekuja kabla ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Desemba 20, ambapo Tshisekedi anatarajiwa kuwania muhula wa pili. #felixtshisekedi #vitalkamerhe #JeanPierreBemba #drc #mawaziri #uteuzi #congo #voa #voaswahili #dunianileo #rais - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Raia wa DRC aeleza hisia zake kuhusu uteuzi wa Bemba na Kamerhe kuwa mawaziri
- - Inspired by nature ››
- - The Memo | May 6th ››
- 7 May 2024 - The New York judge presiding over Donald Trump's historic criminal trial again found the former US president in contempt of a gag order on Monday and threatened to jail him for further violations.
- 7 May 2024 - Ukraine on Monday said it had restored power to hundreds of thousands of people who lost electicity in overnight Russian strikes but warned of "urgent challenges" in maintaining the grid.
- 7 May 2024 - The Kenya Railways Corporation (KRC) has announced the partial resumption of commuter train service after suspension due to heavy rainfall.
- 7 May 2024 - The aged rely on their grandchildren. An average of 300 families have sought refuge at Ombaka Primary School, the only designated evacuation site in the area. Makeshift tents dot the school field, prompting urgent action calls from the government.
- 7 May 2024 - Dumi Camp, in Garsen, Tana River County; an estimated 389 households are camping here.
- 6 May 2024 - According to the PS, Lydia Mbotela, a KQ manager working in the DRC, was released after negotiations facilitated by Kenya's Military Attaché and Charge d'affaires.
- 6 May 2024 - Tuya spoke Monday at Nashulai Conservancy Training College in Narok West during a graduation ceremony of 39 Narok County enforcement officers where she was the chief guest at the invitation of Governor Patrick Ntutu.
- 6 May 2024 - A Milimani's High Court for Judicial Review has thrown the National Transport and Safety Authority (NTSA) board back to the drawing board in their Notice of Preliminary Objection for the Director General's term in office.
- 6 May 2024 - These are the stories making the headlines in the Star
- 6 May 2024 - In the wake of ongoing floods plaguing various regions across the country, the Ministry of Health is now calling for prioritization of food safety in the face of escalating public health risks.