The call for peace is being emphasized in various counties as campaigns continue

  • | K24 Video
    17 views

    Wakati huohuo wito wa amani umeendelea kusisitizwa katika kaunti mbali mbali wakati huu ambao kampeini za uchaguzi mkuu zinaendelea. Hayo yanajiri huku ugombeaji ugavana wa Kakamega wa Cleophas Malala ukipingwa mahakamani kisa ni kutiliwa shaka kwa shahada yake kutoka chuo kikuu cha USIU.