Maandamano ya Azimio I Wafanyabiashara wengi kufunga biashara zao

  • | KBC Video
    20 views

    Wafanyabiashara katika baadhi ya sehemu za humu nchini wameelezea wasiwasi kuhusu uwezekano wa kutatizwa kwa biashara zao hali ambayo inaweza kusababisha kupotea kwa mamilioni ya fedha ikiwa upinzani utaandaa manadamano yake yaliyopangiwa kesho jumatatu na Alhamisi. Wakiongea na shirika la utangazaji nchini, KBC, wafanyabiashara hao walisema watafunga biashara zao ili kuepuka uwezekano wa kuharibiwa au kuporwa kwa maduka yao, kama ilivyoshuhudiwa kwenye maandamano ya Jumatatu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #maandamano #azimiolaumoja