Ajali kwenye barabara kuu ya Narok-Bomet

  • | KBC Video
    48 views

    Watu sita wamefariki na wengine watano kujeruhiwa ,baada ya trela na matatu kugongana ana kwa ana katika eneo la Governor kwenye barabara kuu ya Narok-Bomet.Waliojeruhiwa walipelekwa katika hospitali ya Narok.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ajali #Narok-Bomet