- 468 viewsWafanyabiashara wanakabiliwa na hasara ya mamilioni ya fedha kutokana na ghasia za maandamano yanayo shuhudiwa nchini Kenya. Hii imetokana na msimamo mkali wa kisiasa wa ambao umepelekea upinzani kuzidisha maandamano kuendelea hadi siku mbili kwa wiki. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ilivyo nchini Kenya na kiasi cha hasara kinacho wakabili wafanyabiashara. Endelea kusikiliza... #wafanyabiashara #hasara #ghasia #maandamano #kenya #siasa #upinzani #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wafanyabiashara wakabiliwa na hasara ya mamilioni kutokana na maandamano Kenya
- - LIVE|| TV47 WIKENDI ››
- - LIVE| TV47 NEWS NOW ››
- 5 May 2024 - Ferry services were suspended as a result of Cyclone Hidaya.
- 5 May 2024 - It comes a year after he wed wife Rebecca at a private ceremony in Kericho on May 6, 2023.
- 5 May 2024 - US embassy said successful Diversity Visa selection does not guarantee visa or interview.
- 5 May 2024 - The decision to remove three deputy UDA party leader slots appears as setback for Mudavadi.
- 5 May 2024 - The woman and her five-year-old daughter drowned after jumping into the swollen Nyamindi River on Saturday.
- 5 May 2024 - The ruling party is conducting its first-ever nationwide grassroots elections as it gears for the 2027 general election.
- 5 May 2024 - A Russian passport allows visa-free travel to 117 destinations, while Cuban is limited to 61.
- 5 May 2024 - Kenyans were urged to stay prepared and safe as heavy rainfall is expected.
- 5 May 2024 - Nairobi is fourth with 4,400 millionaires, as per wealth report
- 5 May 2024 - A month ago, the country introduced the Zig, which stands for “Zimbabwe gold”.