- 17,705 viewsBaada ya utulivu wa siku chache kwa mara nyingine mlio wa risasi umesikika katika mji mdogo ulioko magharibi ya Kisanga, Wilayani Masisi Kivu mashariki. Ungana na mwandishi wetu huko DRC akikuletea taarifa za kuanza tena mapigano dhidi ya majeshi ya serikali. Endelea kusikiliza... #utulivu #risasi #mji #kivumashariki #masisi #drc #waasi #m23 #mapigano #majeshi #serikali #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
DRC: Waasi wa M23 waanza tena mapigano mapya dhidi ya majeshi ya serikali
- 3 May 2024 - Reading Time: 2 minutes New women world marathon record holder Peres Jepchirchir has turned her focus to the 2024 Olympic Games set for Paris, […]
- 3 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Football Kenya Federation (FKF) Premier League giants AFC Leopards and Gor Mahia have been slapped with heavy fines following the […]
- 3 May 2024 - Reading Time: 2 minutes The government plans to finance 37 infrastructure projects worth $12.1 million (Sh1.6 trillion), through Public Private Partnership (PPP) arrangements in […]
- 3 May 2024 - In a statement on Thursday, the National Museums of Kenya said Kenyans needed not panic as all the exhibits were secure.
- 3 May 2024 - Panic has gripped Kenyans following a warning that Cyclone Hidaya is closing on the Indian Ocean. The news comes in the wake of heavy rains and widespread flooding that has claimed the lives of at least 188 people and displaced tens of thousands. How…
- 3 May 2024 - Reading Time: 3 minutes The increasing desire by consumers for meaningful connections with the brands has seen conversational messaging channels experiencing explosive growth. Conversational […]
- 3 May 2024 - Police in Makueni have warned members of the public to stay away from Thwake Dam whose water level is rising rapidly. According to a situational report by the DCI, raging waters have engulfed the Makueni bridge, submerged the intake tunnel and also…
- 3 May 2024 - City estates to experience dry taps as floods destroy water pipes
- 3 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Kenya is among top 10 countries in Africa that have achieved the Abuja Declaration on Fertiliser usage target of 50 […]
- 3 May 2024 - President William Ruto is set to address the nation today at 1 pm. The announcement was made by State House spokesman Hussein Mohammed on X after a second cabinet meeting this week to deliberate on extra measures to mitigate the devastating effects of…