- 10,648 viewsWanajeshi wa Ukraine wakiwa kwenye mpaka na Belarus wametumia ndege zisizo kuwa na rubani ili kufuatilia aina yoyote ya uchokozi unaofanywa dhidi yake na Russia. Kuna habari zinazoeleza Rais wa Russia Vladimir Putin anapanga kupeleka silaha huko Belarus bila ya kukiuka majumu yake ya kimataifa ya kutosambaza silaha za nyuklia. Ungana na mwandishi wetu akikueleza hatua ambayo Russia inachukua ya kupeleka silaha kali na kutoa mafunzo ya kuzitumia huko Belarus. Endelea kusikiliza... #wanajeshi #ukraine #belarus #ndege #uchokozi #russia #silaha #vladimirputin #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Je, unajua sababu zilizopelekea Putin kuhamisha silaha za nyuklia Belarus?
- 2 May 2024 - The National Transport and Safety Authority (NTSA) has revoked the licences of 64 Public Transport Operators (PTOs) plying various routes across the country.
- 2 May 2024 - Motion for the impeachment of Nakuru County Secretary Dr Samwel Mwaura, tabled by Menengai East Member of County Assembly Wilson Mwangi split the House on Thursday.
- 2 May 2024 - Royal Media Services (RMS)-owned television, radio and digital platforms continue to lead Kenya’s media landscape, according to the latest findings by the Media Council of Kenya (MCK).
- 2 May 2024 - Three Senior officials of the National Cereals and Produce Board (NCPB) have been arraigned in court, waiting to be charged before the Anti-corruption magistrate.
- 2 May 2024 - A majority of Kenyans do not support the ongoing doctors’ strike which entered its 50th day on Thursday, a new poll by research firm TIFA shows.
- 2 May 2024 - The Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) on Thursday made a decision to charge Jecinter Adoyo Hezron, a senior analyst and personal assistant to the chairperson of Commission on Revenue Allocation (CRA) with forging academic documents.
- 2 May 2024 - Parliament had passed the Bill that removed idle and disorderly offences from the Penal Code Act.
- 2 May 2024 - If Speaker Johnson agrees to the request, it will be the first time in 18 years that an African president has addressed the Congress.
- 2 May 2024 - Kenya has also made similar loan repayments to Israel in the last two financial years.
- 2 May 2024 - The National Assembly has voted to impeach Agriculture Cabinet Secretary Mithika Linturi through a special motion which was moved by Bumula Member of Parliament Wamboka.