- 17 viewsMgonjwa wa kifua kikuu aeleza hali yake inaendelea kuimarika. Mgonjwa huyu yuko katika wodi ya kifua kikuu. Mgonjwa huyu amemfahamisha mwandishi wetu huko mjini Dar es Salaam kuwa hali yake inaendelea kuwa nzuri tofauti na vile ilivyokuwa awali. Sikiliza nasaha za mgonjwa huyu kwa umma kuhusu njia bora ya kujitambua una tatizo la kifua kikuu. Endelea kusikiliza... #mgonjwa #kifuakikuu #matibabu #tiba #kupima #vipimo #dawa #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mgonjwa atoa nasaha kwa umma juu ya umuhimu wa kupima TB
- - Duniani Leo ››
- - 🔴LIVE|| TV47 WIKENDI ››
- 4 May 2024 - Hope Hicks, a former top aide to Donald Trump, testified on Friday that he told her in the final days of the 2016 presidential election to deny that he had a sexual relationship with porn star Stormy Daniels.
- 4 May 2024 - President William Ruto has cautioned members of parliament against misuse of CDF funds telling them to account for the Ksh.57 billion National Government Constituency Development Fund (NG-CDF)funds allocated this year.
- 4 May 2024 - The government has announced that 219 people have so far lost their lives due to the ongoing heavy rains across the country.
- 4 May 2024 - US President Joe Biden took pointed digs at election rival Donald Trump Friday as he awarded the country's top civilian honor to Democratic allies including former House speaker Nancy Pelosi and vice president Al Gore.
- 4 May 2024 - Cyclone Hidaya's onset to Kenya was first announced by Ruto following a cabinet meeting held on Thursday.
- 4 May 2024 - Kenya Kwanza and Azimio legislators agree on a raft of reforms to restructure electoral agency.
- 4 May 2024 - NCA Executive Director Maurice Akech said in a statement new construction works, especially new excavations and works near waterways, should be halted.
- 4 May 2024 - Treasury to cut borrowing, spending on shortfall in revenue collection
- 4 May 2024 - Governor Barasa warns critics against undermining Sh703 million food security plan
- 4 May 2024 - Naivasha flower farms asked to manage water in their dams