Kamala Harris: Marekani itaendelea kuwasukuma wakopeshaji ili kupunguza madeni

  • | VOA Swahili
    357 views
    Makamu wa Rais wa Marekani Harris Kamala ametangaza msaada wa dola milioni 100 kusaidia kuzuia mzozo na juhudi za kuleta uthabiti huko Benin, Ivory Coast, Ghana, Guinea na Togo. #makamu #rais #kamalaharris #ziara #ghana #msaada #mzozo #uthabiti #benin #ivorycoast #ghana #guinea #togo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.